Back to updates Image Story

FORM SIX GRADUATE NEWS

AFRICA WESTERN EDUCATION, PATA HUDUMA ZA MAOMBI YA VYUO VIKUU NDANI NA NJE YA NCHI KWA WAKATI.

September 11, 2026 MWENGE, DAR ES SALAAM Marketing Team
FORM SIX GRADUATE NEWS

🎓 PONGEZI KWA WAHITIMU WA KIDATO CHA SITA! 🎉

Tunawapongeza kwa kumaliza kwa mafanikio mafunzo ya JKT kwa mujibu wa sheria. 🇹🇿

Tunawatakia masomo mema na mafanikio makubwa wote mnaoanza masomo yenu mwezi Oktoba katika vyuo mbalimbali.

Kila la heri katika hatua yenu mpya ya maisha! 🌟

Africa Western Educational Company Ltd (AWECO)